Press Release from the African Centre for Biodiversity
Johannesburg, June 27
A new research paper BT Maize and the Fall Armyworm in Africa: Debunking industry claims published by the African Centre for Biodiversity (ACB) today, debunks unsubstantiated and unscientific claims made by the biotech machinery, especially the Water Efficient Maize for Africa (WEMA) Project, that Bt maize is a solution to combat the fall armyworm (FAW) pest.
According to Mariam Mayet, Executive Director of the ACB, “The advent of the FAW in Africa has given proponents of genetic modification (GM) technologies renewed impetus to push for the commercialisation of GM crops—especially Bt maize—expressing Monsanto’s insecticidal Bt toxins to combat the pest. However, requests from the ACB for data to substantiate these claims have not thus far been provided. Nor have any such data been published in peer-reviewed studies or any other publicly available format that would allow for independent scrutiny by scientists and the public.”
The fall armyworm (FAW) Spodoptera frugiperda, is a moth pest native to tropical and subtropical regions of the Americas and was first observed in the African continent in 2016, in Nigeria, São Tomé and Príncipe. It has since spread to most sub-Saharan countries where it has posed significant risks to food crop production through yield loss. The armyworm possibly came to the continent via anthropomorphic activities such as commercial flights, travellers, imported agricultural commodities, and long-distance dispersal via wind patterns across the Atlantic.
The WEMA project has been called out by the ACB for promoting a privatised food system that will increase farmer costs while making unsubstantiated claims of food safety and security and efficacy. Outrageous claims are now being made that current field trials conducted by the WEMA project in Kenya, Uganda, and Mozambique on so-called drought-resistant and insect-resistant GM maize are showing efficacy against the FAW. Claims range from Bt maize providing either ‘partial’ or ‘strong’ protection’ that successful results were ‘unexpected’ from a technology that is a ‘sure solution’ with ‘demonstrated efficacy.’
These claims are echoed by the United States Agency for International Development’s (USAID’s) ‘Feed the Future’ project, African scientists associated with the WEMA project, the Gates Foundation funded African Agriculture Technology Foundation (AATF) and Cornell University and Monsanto/industry-funded International Service for the Acquisition of Agri-biotech Applications (ISAAA). Indeed, the ISAAA claims that Kenyans are on “the brink of starvation,” lest they have access to this technology. Emails to ISAAA requesting evidence to back up claims made in their articles have been pointedly ignored.
The ACB’s report has thoroughly critiqued these unverified claims, analysing published data, and reports from the Americas where it is a major pest. It has found that GM crops have been far from sure solutions, but instead, have become rapidly ineffective in many cases due to FAW resistance to GM traits. Resistance is rendering Bt crops futile in Brazil where Bt maize is widely grown on millions of hectares.
According to Sabrina Masinjila, advocacy and outreach officer with the ACB, based in Tanzania, “The lack of scientific data deny full and proper public participation in the approval process for commercialisation of GM crops, as stipulated in the UN Cartagena Protocol for Biosafety to which all WEMA countries are signatories. Crucially, it questions the scientific rigour and ethics of the project that is intended ostensibly to benefit small-holder farmers across the region.”
The push for the commercialisation of GMOs as a solution to the FAW is yet another Trojan horse, being used to open up African countries to GM crops. A solution that claims to be on the side of modern science but not backed up by rigorous scientific results and analysis and available for public and independent scientific analysis, must be rejected.
The ACB calls on African governments to implement holistic strategies, which are already showing efficacy in the field, to support small-holder farmers. These include various agro-ecological strategies such as the intercropping, the ‘push-pull’ system and integrated pest management strategies. These are being implemented in both the Americas and Africa and provide sustainable solutions to the FAW and will not further indebt farmers, compromise their health or that of their surrounding environment.
Ends
Contact: ACB’s communications officer Fatima Gabru at, fatima@acbio.org.za
Notes to Editors:
- The FAW caterpillar or larva is regarded as a pest due to their highly polyphagous behaviour, feeding on a recorded 100 plant species including its preferred plants: maize, rice and sorghum, as well as sugarcane, cotton, millet, groundnut, soybean, potato and other vegetable crops. They are highly migratory, with female moths travelling 100 km a night, allowing the pest to spread rapidly.
- The Water Efficient Maize (WEMA) for Africa is a project whose goals are to produce drought tolerant (DT) hybrid and GM drought tolerant and Bt varieties of maize seed. Primarily the Bill and Melinda Gates Foundation (BMGF) fund it. It does so under the guise of philanthropic intentions to provide solutions to small-holder farmers facing the very real threat of climate change in several African countries including, South Africa, Kenya, Uganda, Mozambique, Tanzania and more recently, Ethiopia. See further: FAQs on Water Efficient Maize for Africa (WEMA). Available here.
For the full report (English or Swahili) please click on one of the links below.
Swahili Press Release
Chapisho jipya la utafiti lenye kichwa, Mahindi ya Bt na viwavi jeshi vamizi Afrika: Ukanushaji wa madai ya sekta, lililotolewa na Kituo cha Bioanuwai Afrika (ACB), linaweka bayana madai yasiyo na msingi wala uthibitisho wa kisayansi yanayotolewa na sekta ya kibayoteki, hasa mradi wa mahindi yanayotumia maji kwa ufanisi/yanayostahimili ukame (WEMA), wanaodai eti mahindi ya Bt ni suluhisho la viwavijeshi vamizi.
Kwa mujibu wa Mariam Mayet, mkurugenzi mtendaji wa ACB, “ kuibuka kwa viwavijeshi vamizi barani Afrika kumeibua ari mpya kwa wanaounga mkono teknolojia ya ubadilishaji wa vinasaba (GMO) kutoa msukumo wa katika uanzishaji wa biashara ya mazao ya GM hasa mahindi ya Bt ya Monsanto yanayodhihirisha sumu ya kuuwa wadudu waharibifu. Hata hivyo maombi ya ACB kupatiwa taarifa zinazoweza kuthibitisha madai haya hayajajibiwa bado. Wala hakuna taarifa zozote zilizochapishwa ili kutoa nafasi kwa wataalamu na umma kufanya uchambuzi binafsi.
Kiwavijeshi vamizi (FAW) au kwa jina la kisayansi, Spodoptera frugiperda, ni aina ya nondo asilia wa maeneo ya kitropiki na eneo jirani ya kitropiki katika bara la Amerika. Mnamo mwaka 2016, viwavijeshi vamizi walionekana kwa mara ya kwanza nchini Nigeria, São Tomé na Príncipe barani Afrika. Kwa saa hivi wadudu hawa wamehamia nchi nyingine kusini mwa jangwa la Sahara na kusababisha hatari kwenye uzalishaji wa chakula kupitia upotevu wa mazao. Inawezekana kuwa wadudu hawa waliingia bara la Afrika kipitia shughuli za kibinadamu kama biashara ya ndege, wasafiri, bidhaa za kilimo, au kupitia njia ya kusambaa wenyewe kwenye eneo kubwa kwa muda mrefu kwa kutumia upepo wa Atlantiki.
ACB imebaini mradi wa WEMA unahamasisha ubinafsishaji wa mfumo wa chakula hali ambayo itaongeza gharama kwa wakulima huku ukitoa madai yasiyoweza kuthibitishwa kwamba itaongeza usalama na ufanisi katika kilimo. Madai ya kushangaza yameanza kutolewa kuwa majaribio yanayoendelea kwenye mashamba ya mradi wa WEMA nchini Kenya, Uganda na Msumbiji kwenye kile kinachodaiwa mahindi yanayohimili ukame na wadudu waharibifu yanaonesha ufanisi katika kukabiliana na viwavijeshi vamizi. Madai haya yanapishana kuanzia yale ya kuwa mahindi ya Bt yanaweza kwa kiasi hadi kuzuia kabisa na kuwa “mafanikio” haya ambayo hayakutarajiwa yanatokana na teknolojia ambayo ni suluhisho na inayonesha ufanisi.
Madai haya yanarudiwa na mradi wa ‘Feed the Future’ wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID), wanasayansi wa kiafrika wanaohusiana na mradi wa WEMA, Asasi ya Afrika ya Teknolojia ya Kilimo (AATF) inayofadhiliwa na mfuko wa Bill na Melinda Gates, na chuo kikuu cha Cornell na Monsanto/Huduma ya Kimataifa ya Upatikanaji wa vifaa vya kilimo na Teknolojia ya bayoteknolojia (ISAAA). Hata hivyo, ISAAA inatoa madai kuwa waKenya wapo kwenye “hati hati ya kukumbwa na njaa”, wasipo tumia teknolojia hii. Maombi ili kupata ushahidi kupitia barua pepe kadhaa zilizotumwa kwa ISAAA, ili kuthibitisha madai haya yaliyopo kwenye machapisho yao yamepuuzwa.
Ripoti ya ACB imeyatazama kwa undani madai haya, kuchambua taarifa zilizochapishwa na ripoti kutoka Marekani ambapo kiwavi huyu ametawala. Imegundulika kuwa mazao ya GM yameshindwa kabisa kuwa suluhu kwa janga hili bali ghafla imeonesha udhaifu katika kupambana kutokana na ukinzani unaojengwa na viwavijeshi kwenye mazao ya GM. Ukinzani umedhihirisha kushindwa kwa mahindi ya Bt nchini Brazil ambapo mahindi haya hulimwa kwa kiasi kikubwa kwenye mamilioni ya hekta.
Kwa mujibu wa Sabrina Masinjila, afisa uragibishi na masaliano wa ACB kutokea Tanzania, “ kukosekana kwa taarifa za kisayansi kunazuia ushiriki wa jamii katika mchakato wa kuruhusu biashara ya mazao ya GM kama ilivyotamkwa na itifaki ya umoja wa mataifa ya Cartagena kuhusu usalama wa kibaiolojia ambayo nchi washiriki wote wa mradi wa WEMA wamesaini. Muhimu kabisa inatilia shaka usahihi wa njia na miiko ya kisayansi kwenye mradi unaodhaniwa kuleta manufaa kwa wakulima wadogo barani kote”.
Shinikizo la kuruhusu biashara ya GMO kama suluhu kwa viwavijeshi vamizi ni danganya toto inayotumiwa kufungua milango kwa mazao ya GM barani Afrika. Suluhu inayopigiwa upatu kama njia ya kisayansi lakini inakosa uthibitisho wa matokeo na uchambuzi uliowekwa wazi ili kufanyiwa uchambuzi huru inabidi ipuuzwe.
ACB inazitaka nchi za Afrika kutumia mbinu pana zaidi ambazo tayari zimeonesha ufanisi katika kusaidia wakulima wadogo. Hii pamoja na mbinu kadhaa za kilimo hai kama kilimo mseto, kutumia, njia za kusoma hali zakuvutia au kufukuza wadudu waharibifu (push- and pull), na njia ya usimamizi jumuishi ya kudhibiti wadudu waharibifu (integrated pest management). Njia hizi zinatumika Amerika na Afrika na zimetoa suluhu endelevu kwa viwavijeshi vamizi bila ya mkulima kubebeshwa mzigo wa madeni, kuhatarisha afya zao na mazingira yanayomzunguka.
Mwisho
Mawasiliano: Afisa mahusiano wa ACB Fatima Gabru, fatima@acbio.org.za
Maelezo kwa wahariri:
- Funza au lava wa viwavijeshi vamizi wanawekwa kundi la wadudu waharibifu kutokana na tabia yao ya kula mimea zaidi mmoja, wametia fora kwa kula zaidi ya aina 100 za mimea ikiwemo mimea ya mahindi, mchele, mtama ambayo huipendelea zaidi. Pia funza hawa wanakula miwa, pamba, ulezi, karanga, maharagwe aina ya soya, viazi pamoja na mazao ya mboga mboga. Ni wadudu wanaosambaa kwa kasi ambapo nondo jike hufika hadi umbali wa kilometa 100 kwa usiku, hivyo kufanya wasambae kwa haraka.
- Mradi wa mahindi yanayotumia maji kwa ufanisi (WEMA) ni mradi wenye lengo la kuendeleza aina ya mbegu ya mahindi zinazostahimili ukame na wadudu waharibifu. Unafadhiliwa kwa kiasi kikubwa na mfuko wa Bill na Melinda Gates. Inafanya hivyo kujificha nyuma ya mwavuli wa kutoa misaada ya kijamii, kutoa suluhu kwa wakulima wadogo wanaokabiliwa na tishio la mabadiliko ya tabia ya nchi katika nchi kadhaa za bara la Afrika ikiwemo, Afrika kusini, Kenya, Uganda, Msumbiji, Tanzania na hivi karibuni Ethiopia. Angalia zaidi maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu mahindi yanayotumia maji kwa ufanisi(WEMA) hapa.
Kwa Chapisho nzima tafadhali bofya hapa
Pakua
Poruguese Press Release
Um trabalho recente de pesquisa, O MILHO BT E A LAGARTA DO FUNIL EM ÁFRICA: DESMITIFICANDO AS ALEGAÇÕES DA INDÚSTRIA, publicado hoje pelo Centro Africano para a Biodiversidade, desmitifica as alegações não-substanciadas e não científicas feitas pela maquinaria da biotecnologia, especialmente o Projeto de Milho com eficiência Hidríca para a África (WEMA) , que o milho Bt é a solução para combater a praga da lagarta-do-funil. De acordo com Mariam Mayet, Diretora Executiva da ACB, “O advento da lagarta do funil em África criou condições para que os proponentes das tecnologias de modificação genética (GM) um ímpeto renovado impulsionassem a comercialização de transgênicos – especialmente o milho Bt – expressando as toxinas Bt inseticidas da Monsanto para combater a praga. No entanto, solicitações de dados feitos pelo ACB para substanciar essas alegações não foram fornecidas até ao momento. Tampouco esses dados foram publicados em estudos revistos por pares ou em qualquer outro formato público disponível que permita o escrutínio independente por parte de cientistas e do público no geral”.
A lagarta do funil ( Spodoptera frugiperda) é uma traça nativa das regiões tropicais e subtropicais das Américas e foi observado no continente africano em 2016, na Nigéria, São Tomé e Príncipe. Desde então, foi se expalhando para os vários países da África subsahariana onde criaram avultados danos à produção de alimentos caracterizado pela perca de rendimento. A larga do funil talvés entrou no continente por via de actividades antropormórficas tais como voos comerciais, viajantes, produtos agrícolas importados e dispersão a longa distância através de padrões de vento do Atlântico.
O projecto WEMA foi denuciado pelo ACB por promover um sistema privatizado de alimentos que vai aumentar o custo nos produtores ao mesmo tempo em que faz alegações infundadas de segurança e eficácia alimentar. Agora, alegações ultrajantes feitas apontam que os actuais testes de campo realizados pelo projecto WEMA no Quênia, Uganda e Moçambique sobre o chamado milho GM tolerante a seca e resistente a insetos estão a mostrar eficácia no combate a lagarta do funil. As alegações do milho Bt variam entre as seguintes espressões, fornece proteção “parcial” ou “forte”, que os resultados de sucesso foram “inesperados” de uma tecnologia que é a “solução certa” com “eficácia demonstrada”.
Essas alegações são repercutidas pelo projecto Alimentar o Futuro (Feed the Future) da Agência dos Estados Unidos para o Desenvolvimento Internacional (USAID), Cientistas Africanos Associados com o projecto WEMA, Fundação Gate financiando a Fundação de Tecnologias Agrícolas Africanas (AATF) e a Universidade de Cornell e a Mosanto/Industria financiando o Serviço Internacional para a Aquisição de Aplicações Agri-biotecnológicas (ISAAA). De facto, as alegações do ISAAA ao afirmar que os quenianos estão a “beira da inanição” para que eles não tenham acesso a essa tecnologia. os e-mails enviados ao ISAAA solicitando provas de backup de reclamações feitas em seus artigos foram intencionalmente ignorados.
O relatório do ACB criticou completamente essas alegações não verificadas, analisando dados publicados e relatórios das Américas onde prevalece a maior peste. Verificou-se que as culturas GM não provedenciaram verdadeiras soluções, ao contrário, tornaram rapidamente eneficazes em muitos casos devido a resistência aos traços GM. A resistência está tornando inútil o cultivo de Bt no Brasil, onde o milho Bt é amplamente cultivado em milhões de hectares.
De accordo com Sabrina Masinjila, oficial de advocacia da ACB baseada na Tanzânia, “ a falta de dados científicos recusa completamente a participação pública na aprovação de processos para a comercialização de culturas GM, como estipulado no protocolo de cartagena para a Biodiversidade das Nações Unidas na qual todos os países que participam do projecto WEMA são signatários. Certamente, isto questiona o rigor científico e ético do projecto que ostensivamente se pretende que beneficie os pequenos produtores em toda a região”.
O avanço pela comercialização de OGMs como solução para a lagarta do funil é ainda um outro cavalo de troia, usado para forçar a abertura dos países africanos à culturas GM. As alegações que apontam a solução para o lado da ciência moderna mas não apadrinhado pelas análises e resultados científicos e disponíveis para o público e análises científicas independenetes, deve ser rejeitado.
O ACB adverte os governo africanos a implementar estratégias holísticas, que já estão a mostrar eficâcia no campo, apoiar os pequenos produtores. Isto inclui várias estratégias agro-ecológicas tais como intercropping (culturas e plantas do tipo diferente), push-pull’ e estratégias integradas de controle de pragas. Estas estão a ser implementadas nas Américas e na África e fornecem soluções sustentáveis para a lagarta do funil e não irão endividar mais os agricultores, comprometer a sua saúde ou a de seu meio ambiente.
fim
Contactos: oficial de comunicação da ACB Fatima Gabru através do email fatima@acbio.org.za
Notas editoras:
- A lagarta do funil ou larva é considerada uma praga devido ao seu comportamento altamente polífago, alimentando-se num tempo recorder de 100 espécies de plantas incluindo as suas plantas preferidas: milho, arroz e sorgo, assim como cana-de-açúcar, algodão, painço, amendoim, soja, batata e outras hortaliças. Elas são altamente migratórios, com as traças fêmeas a percorrer 100 km por noite, permitindo que a praga se espalhe rapidamente
- O projecto de Milho com Eficiência Hídrica é um projecto cujo objectivos consiste em produzir milho híbrido tolerante a seca e variedades de milho GM tolerante a seca e resistente a insectos. Primariamente, a fundação Bill e Melinda gate financiou o projecto. Foi financiado sobre intervenções filantrópicas com a intenção de providenciar soluções para os pequenos produtores enfrentando severas ameaças de mudanças climaticas em vários países africanos incluindo África do Sul, Uganda, Moçambique, Tanzânia, e muito recentemente, na Etiopia. Veja mais além: FAQs (perguntas frequentes) sobre Milho com eficiência Hidrica para África (WEMA) disponível aqui
Para todo o relatório (Inglês, Swahili e Portuguê) por favor click num dos links abaixo.